Deuteronomy 5:2-3

2 aBwana Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu. 3 bSi kwamba Bwana alifanya Agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo.
Copyright information for SwhNEN